SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Ukiangalia mwenendo wa Wydad unaona kabisa no timu ambayo itachukua muda mrefu sana kukaa sawa.
Club World Cup ni mwakani na Wydad ndiyo kwanza imefungiwa kufanya usajili kwa hiyo zoezi la kuboresha timu linazidi kuwa gumu.
Si muda mrefu watatimua kocha wao. Naona kabisa huko World Cup wanaenda kuchezea vichapo.
Hii nafasi ya kucheza World Cup wangeiuzia Simba ingekuwa na maana zaidi (kwa maana ya kuiachia nafasi halafu CAF ingeichukua Simba maana ni moja ya timu zilizokuwa na rank za juu na kuleta diversity katika wawakilishi).
Wydad wanaenda kutia aibu huko kwenye nchi ya Trump. Kina Ateba, Che Malone na Fernandez wangeiwakilisha vyema zaidi Africa.