Wydad kufungwa na Simba nyumbani kwakwe ni sawa na mtoto anayefosi kuona utupu wa mzazi wake

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Wachambuzi wa mpira (mashabiki) hawataki kuweka wazi kuwa simba hawezi kutok mbele ya wydad.

Inatumika nguvu kubwa ya kuwadanganya mashabiki wa Simba lakini wanasahau kuwa simba imezidiwa kila kitu na wydad haswa ulitazama namna wadad wanapocheza ugenini ni tofauti kabisa na wanapokua nyumbani/uwanja wa nyumbani.

Sitaki kuwa mnafiki na hii iwafikie wachambuzi wa mchongo wanaoleta siasa za mpira nakuficha ukweli madhubuti kuwa simba atafungwa goli nyingi hata goli la ugenini hatopata.

Simba leo itakwenda kutimiza ratiba tu na siyo kwenda kuleta challenge kwa wydad, nguvu zinazotumika kutoka kwa wachambuzi wetu kuwa simba atashinda mbele ya wydad ni sawa na mtoto mdogo kumlazimisha akachungulie tupu ya mzazi wake ambaye anamtazama kwa umakini/ambaye yupo macho hajalala.



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwanayanga mwenzangu

Leo Mnyama anamla mtu kitoweo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…