Wydad kufungwa na Simba nyumbani kwakwe ni sawa na mtoto anayefosi kuona utupu wa mzazi wake

Muda UTATOA MAJIBU.
Mbona una kiherehere hivyo kama unawashwa????

Kwanini usisubiri Muda Uongee?????

PUNGUZA MIHEMUKO.

SUBRA YAVUTA HERI.
 
UJINGA NI KIPAJI.

Mpira ni Dakika 90.
Kama ZAMALEKI alivuliwa UBINGWA akiwa KWAO 2003kwanini wydad asivuliwe.

PUNGUZENI ushama

HAYA NDIO MADHARA YA KUKIMBIA MILANGO YA SHULE.
UNAKWAZA Seva za JF.

TAFUTA AJIRA
 
Mbona hamjiamini? Msemaji wenu alishasema wameongea na wydad wawalipie kisasi cha ile miko miwili mliyokandwa tar 16, mnatatarika nini sasa?
 
Wao si watakuwa 15 uwanjani, sawa hamna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…