Wydad leo anapigwa 4-0 amini usiamini

Wydad leo anapigwa 4-0 amini usiamini

Sisi wengine tunasubiria matokeo baada ya dakika 90. Na siyo ushindi wa mdomoni.
 
You mean Champions League tornament between SSC verses Wydad Casablanca?
Hopefully, it's possible. Why not !!!
 
Simba wameanza kujitapa juzi tu baada ya kuivizia Yanga. Walikuwa kimyaaa! Na Leo ukimya unarudi!!
 
𝑵𝒅𝒊𝒐 4 𝒃𝒊𝒍𝒂 𝒉𝒊𝒛𝒐?

Hizo ndio nne zimeanza kuhesabika kwao tunaenda kumpiga 3 zinahesabika 4 kamili mechi bado haijaisha hiyo punguza presha
 
Hizo ndio nne zimeanza kuhesabika kwao tunaenda kumpiga 3 zinahesabika 4 kamili mechi bado haijaisha hiyo punguza presha
𝑲𝒘𝒂 𝒉𝒊𝒊 𝒑𝒂𝒑𝒂𝒕𝒖𝒑𝒂𝒑𝒂𝒕𝒖 𝒎𝒍𝒊𝒐𝒄𝒉𝒆𝒛𝒂 𝒍𝒆𝒐?
 
Kweli kabisa. Maana mambo yakienda tofauti; basi lawama zote hupelekwa kwa wachezaji, benchi la ufundi, na mwekezaji.
𝑯𝒂𝒕𝒂 𝒍𝒆𝒐 𝒘𝒂𝒎𝒆𝒔𝒉𝒊𝒏𝒅𝒂 𝒊𝒍𝒂 𝒉𝒂𝒘𝒂𝒏𝒂 𝒇𝒖𝒓𝒂𝒉𝒂
 
Back
Top Bottom