Wydad leo anapigwa 4-0 amini usiamini

Sisi wengine tunasubiria matokeo baada ya dakika 90. Na siyo ushindi wa mdomoni.
 
You mean Champions League tornament between SSC verses Wydad Casablanca?
Hopefully, it's possible. Why not !!!
 
Simba wameanza kujitapa juzi tu baada ya kuivizia Yanga. Walikuwa kimyaaa! Na Leo ukimya unarudi!!
 
Sisi wengine tunasubiria matokeo baada ya dakika 90. Na siyo ushindi wa mdomoni.
Ni vizuri sana kama mmeamua kuuzingatia ushauri wa baba yenu, alisema muachane na POLIMILAI.
 
π‘΅π’…π’Šπ’ 4 π’ƒπ’Šπ’π’‚ π’‰π’Šπ’›π’?

Hizo ndio nne zimeanza kuhesabika kwao tunaenda kumpiga 3 zinahesabika 4 kamili mechi bado haijaisha hiyo punguza presha
 
Hizo ndio nne zimeanza kuhesabika kwao tunaenda kumpiga 3 zinahesabika 4 kamili mechi bado haijaisha hiyo punguza presha
π‘²π’˜π’‚ π’‰π’Šπ’Š 𝒑𝒂𝒑𝒂𝒕𝒖𝒑𝒂𝒑𝒂𝒕𝒖 π’Žπ’π’Šπ’π’„π’‰π’†π’›π’‚ 𝒍𝒆𝒐?
 
Umeona mnyama alivyomkanda ndugu yenu utopolo
π‘Ύπ’Šπ’Œπ’Š π’Šπ’‹π’‚π’šπ’ π’”π’Šπ’ π’Žπ’ƒπ’‚π’π’Š
 
Kweli kabisa. Maana mambo yakienda tofauti; basi lawama zote hupelekwa kwa wachezaji, benchi la ufundi, na mwekezaji.
𝑯𝒂𝒕𝒂 𝒍𝒆𝒐 π’˜π’‚π’Žπ’†π’”π’‰π’Šπ’π’…π’‚ π’Šπ’π’‚ π’‰π’‚π’˜π’‚π’π’‚ 𝒇𝒖𝒓𝒂𝒉𝒂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…