Wydad leo wamefanyiwa kile ambacho huwa wanakifanya

Ile fitna wamepigwa wataenda wasimuliane nadhani hata wao kwenye ndege wanacheka kwamba hii hawajawahi kuiona dk 6 kupiga faulo [emoji119]
Mamelody wamefanya poa sana kuonesha wazi kile waarabu huwa wanafanya
Haswaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli hua tunakaziwa mimi ni simba dam dam nimefurahi waarabu kupigwa the rest is history.
 
Hata km team yake, mbna sioni km inapewa ukubwa huo unaowaza wee? Mamelodi hawa wanaapigwa figisu za wazi kwenye CL,

Acha uongo, wydad wamekosa kombe kihalali.
 
Lakini inakwaje waarabu wanachoka kucheza kwenye jua mbona kama wana jangwa huko kwao
 
Malalamiko ni double standards. Kwa nini timu zingine zikiomba kucheza na waarabu ama mechi zao kwenye jua zinakataliwa.

Mfano simba alishakataliwa muda wa jua.

Simba na raja simba aliomba acheze saa 10 dar akakataliwa.

Mazembe aliomba acheze na esperence saa tisa congo akakataliwa

KAMA MAMELODI ANARUHUSIWA KUCHEZA KWENYE JUA WHY SIMBA NA MAZEMBE WANAKATALIWA ?
 
Lakini inakwaje waarabu wanachoka kucheza kwenye jua mbona kama wana jangwa huko kwao

Malalamiko ni double standards ama upendeleo anaopewa mamelodi huku wengine hawapewi

Simba na raja simba aliomba acheze saa 10 dar akakataliwa.

Mazembe aliomba acheze na esperence saa tisa congo akakataliwa

KAMA MAMELODI ANARUHUSIWA KUCHEZA KWENYE JUA WHY SIMBA NA MAZEMBE WANAKATALIWA ?
 
Wanstoboa za saa ngapi

Yanga mtamu muda wa soka safi

Muda unaotumiwa kwenye uefa champions league

Muda unaotumiwa kwenye world cup finals

Muda wa soka safii huku macho yanaona vizuri kwenye flood lights.

Yanga hata siku moja huwezi mkuta anacheza mechi saa tisa. Na hata tff wakitupangia tunagoma huo muda
 
Kwamba Yanga acheze juani na Geita au Ihefu nani hatobohi na nani atatoboa, kwann?
 
Kwamba Yanga acheze juani na Geita au Ihefu nani hatobohi na nani atatoboa, kwann?

Yanga hatuwezi cheza vizuri. Mpira ni kazi.. kumchezesha mtu kwenye jua kali unamfanya ashindwe kuonesha uwezo wake.

Ihefu ni weak team kulinganisha na yanga

Ila mechi wakicheza saa tisa sitashangaa ihefu kuonekana bora
 
Necha yao uoga
Mwalimu wao hofu na maahaka
Ndio maana IDF wanawashindilia kwenye mashimo yao kule kule Hospital
 
Timu mwenyeji ina haki kisheria kupanga muda wa kucheza mechi
 
Timu mwenyeji ina haki kisheria kupanga muda wa kucheza mechi

Kama sheria inaruhusu kwa mamelodi mbona wengine wanakataliwa. Je wanakataliwa kwa sheria gani ?

Simba na raja simba aliomba acheze saa 10 dar akakataliwa.

Mazembe aliomba acheze na esperence saa tisa congo akakataliwa

KAMA MAMELODI ANARUHUSIWA KUCHEZA KWENYE JUA WHY SIMBA NA MAZEMBE WANAKATALIWA ?

Ama sababu mabosi wao sio Rais wa Caf kama bosi wa Mamelodi ?
 
Ni sawa, ila kwa mamelodi sioni wakipewa ukubwa, had sometimes naonaga uzushi kuwa ni team ya motsepe
 
Toa Simba hapo, Ibaki hiyo nyingine.

Kuwaweka pamoja ni kuikosea heshima Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…