OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Naandika kabla ya mechi ya fainali,
Wana kocha bora kabisa ADIL RAMZ ambaye amewahi kuwa kocha msaidizi AJAX ya amsterdam,
Wana mawinga viberenge wanakimbia kwa kukata upepo, mabeki hatari, washambuliaji hatari mpaka kipa ni wa viwango vya SGR.
Wanaweza kucheza mpira wa chini na wajuu, tena ukileta wa juu ujue haufiki kwenye 18 bila kuondoshwa,
Aibu ya mwaka yaja kwa wana SIMBA huko mjini CAF, kama hamuamini angalieni mamelodi atakavyo geuka mtibwa sugar yaani atakua havuki 18 watapiga chenga weee wakifika 18 mpira unaangukia kwenye miguu ya wydad.
Uzi tayari.