je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Hii ni mechi dume na wydad anaongoza moja lakin anapelekewa moto hatari hadi kocha wao anatamani kuwaambia wakimbie.
Huku kwetu mpira ni ushubwada tu, eti timu ina Kibu Denis, Boco, Mzamiru, halafu wanategemea kufika nusu. Timu ina Denis Nkane, Mudathir, Job, masihara makubwa sana.
Tanzania tunapenda sana ubabaishaji kila sehemu, sasa mbele ya Mamelod Sundown, Raja, Wydad, Al Ahly, hizi timu zetu zitapitia mlango gani kufika nusu?
Mpira ni uwekezaji na sio kuita press kila siku.