Wydad vs Atletico Petroleous, huu ndio mpira sasa. Tanzania kuna danganya toto ya mpira

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Hii ni mechi dume na wydad anaongoza moja lakin anapelekewa moto hatari hadi kocha wao anatamani kuwaambia wakimbie.

Huku kwetu mpira ni ushubwada tu, eti timu ina Kibu Denis, Boco, Mzamiru, halafu wanategemea kufika nusu. Timu ina Denis Nkane, Mudathir, Job, masihara makubwa sana.

Tanzania tunapenda sana ubabaishaji kila sehemu, sasa mbele ya Mamelod Sundown, Raja, Wydad, Al Ahly, hizi timu zetu zitapitia mlango gani kufika nusu?

Mpira ni uwekezaji na sio kuita press kila siku.
 
Unaangusha vibuyu na dawa zinaharibika kwa diss threads.
 
Petro atletico msimu uliopita walifika nusu fainali ya caf champions league.

Na robo fainali walimtoa mamelodi.

Hao wa Angola wana wa brazil wanaupiga mwingii balaa

Bila kusahau handsome boy Carlos Carrinhoss kipenzi cha wanayanga nae yupo Petro anawakilisha wananchi
 
Mwanaume kumsifia mwanaume mwenzio handsome boy Kuna walakini.
 
Walakini unao wewe..sisi wananchi tulikuwa tunamuita carrinho handsome boy toka yuko Bongo anachezea timu yetu
Huko si ndiyo Kuna akina kabwili na manara? Basi sawa. Viva uto!! Viva mwananchi!!
 
Reactions: Tui
Ety ulivyokuwa mlemavu wa akili unasema kabisa kocha anataka awaambie wakimbie duuuuuuuuhh
 
Mkuu una uhakika kuwa mamelod sundown alitolewa na Petro atletico msimu uliopita??
 
Petro de Luanda Hawa jamaa wanayo quality nzuri TU ya wachezaji, hata mashabiki wao naona wanajivunia kabisa, timu kama ile mshabiki unajipa moyo kuwa muda wowote tunapata goli, sijui mechi za nyumbani wanachezaji kama ugenini ndo wanacheza vile, hawaogopi ni kucheza mpira na kushambulia tu..
 
wamekaa wakapanga na mganga kupeleka basi uwanjani kinyumenyume ndo watashinda!,timu zilizotumia msuli wa pesa kusajili ndo zitafika nusu huko.timu zilizookota wachezaji wa bure wakibahatisha basi mwisho robo tena kwa bahati sio uwezo.
 
wamekaa wakapanga na mganga kupeleka basi uwanjani kinyumenyume ndo watashinda!,timu zilizotumia msuli wa pesa kusajili ndo zitafika nusu huko.timu zilizookota wachezaji wa bure wakibahatisha basi mwisho robo tena kwa bahati sio uwezo.
Kwani nyinyi mara yenu ya mwisho kufika hata robo fainali ya haya mashindano ni lini?
 
Mashabiki wa Simba ni wajinga , walivyopigwa Kama mbwa na Raja wakawa wanadanganya watu eti Raja ndio mabingwa wapya wa CAFCL . Raja hawez kumtoa Petro Atretico , Mamelod au Alh' Ahly head to head
 
Wewe mleta ndio aina ya wabongo unaowasema. Wiki kadhaa zilizopita Yanga kapiga mpira mkubwa kwa waarabu na wachezaji hao hao unaowananga lakini tulifungwa jana Petro Luanda kacheza mpira nae kafungwa lakini wabongo ndio wanapigwa majungu
Mshamba tu huyo jamaa.
Inaonyesha hajui anachokizungumza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…