Wydad walalamika Gwaneng Galaxy wametumia Black Magic kuwafunga

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Jana Wydad kakalishwa bao 1 nyumbani na Gwaneng Galaxy, viongozi na vyombo vya habari wamelalamika kuwa wa Bostwana hao wametumia mitishamba kuwafunga, wamedai haukuwa mchezo wa kawaida, wachezaji wao walikuwa wazito sana, pasi haziendi, magoli hayaingii, nimesikitika sana kweli Wydad timu kubwa ya afrika kulalamika kitoto namna hii, na nyie fanyeni tena nyie mna Kitabu kabisa ambacho ni suluhisho la matatio duniani.Piga kitabu cha maana muue ndumba hizo.

Mliofungwa 5 1 na utopolo kazi mnayo
 
Ndivyo mpira ulivyo.
 
Waambie hao Wydad FC kuwa wakija Dar es Salaam huenda hata wakati wa Mechi yao na watakaocheza nao wakawa Wanakunya tu kila Wakikimbia uwanjani kwa Uchawi ambao watakutana nao.
 
Kwani si huwa wanaswali kabla ya kuingia uwanjani, na huwa wanadai Mungu wao ana nguvu kuliko Mizimu yetu!!!

Waambieni NA BADO, kuna siku watakimbia uwanjani, pumbavu kabisa hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…