ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Jan 25, 2024 #1 Hii kibiashara maana yake ni nini, kwanini kila habari lazima ikumbushwe kumbushwe kwani si dunia nzima tushajua Twitter ni X na X ni Twitter. Kwanini zitrend zote pamoja (Twitter) X?
Hii kibiashara maana yake ni nini, kwanini kila habari lazima ikumbushwe kumbushwe kwani si dunia nzima tushajua Twitter ni X na X ni Twitter. Kwanini zitrend zote pamoja (Twitter) X?
Dr Dre JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 2,664 Reaction score 2,810 Jan 25, 2024 #2 X ina maana zaidi ya moja mkuu