X anataka kurudi...

binafsi na feture na huyu mwanamke.siko kwa ajili ya kumtumiaa
inaonyesha mlikuwa mnakula wote na jamaa
ukiweza endeleza hiyo hiyo,
mtakapokutana wote kwenye giza ndipo utakapoamua.
 
lizzy,nafanyaa kilaa kitu kumuonyesha na mjalii na kumpenda,yeye binafsi mda sio mrefu ananiambiaa hawezi kurudii tena kwa huyo mwanaume ana niitajii mimi,ila mi nakuwaa siamini asili mia mia cse jamaa yuko karibu zaidi yangu.so ana advantage na sijui wanaongea ninii inawezekana jamaa akawa kinganganizi mpaka akalengea
Mwache achague mwenyewe anamtaka nani.
Unachoweza kufanya ni kumwonyesha tu kwamba ni kwa kiasi gani unampenda na kumwacha afanye maamuzi yake!
 

Kama alimbikiri hapo huna chako anarudi kule kule na huyo wa abroad akipigwa chini basi huyo jamaa ataelekeza mashambulizi tena kwa wa abroad hapo kazi unayo bora na wewe umpige chini tu huna jinsi.
 

Well ikitokea akashawishika kurudi kwa jamaa pamoja na anayokueleza (hamtaki jamaa..anakuhitaji wewe..etc) basi jua hana msimamo na umwache aende zake!!
 
lond distance relationships never work kaka....wewe usijipe tabu three is a crowd jiweke pembeni tuu.
 
Mi naona wote hapo ni players tu! Endeleeni na machezo atakayenogewa zaidi ataomba mwenyewe kupishwa, na ikifika hatua hiyo uungwana unapaswa kuchukua nafasi yake. Mi mwenyewe washkaji niliowapishaga kwenye mambo hayo hadi leo ni mabest kinoma.
 
mmmhhh Asha! Agangamale hata kama hapendwi?
 

Horse power umemnenea ukweli mtupu....bahati mbaya ukweli huu unauma......e ...............HAPO haupendwi weye ni chombo cha kubalance hormones zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…