X GIRLFRIEND

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Kuendelea kuwa na mawasiliano na Mpenzi wako wa zamani ni sawa na kutembelea muwa kama fimbo, ipo siku utautafuna tu....
Ni mtazamo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli maana atapata Hamu na atakwambia umpe Mkuno ndo mana me nikisha break up na mtu ctaki mawasiliano na mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…