Hili neno kuchamba nina kama miezi sita kujua maana yake , huwa linanichekesha sana😅😅😅Ungeandika kwa utulivu, ingependeza sana.
Tatizo unachamba!
Jamaa kaandika kwa kuwasema wasomaji kwamba hatujui XY kiundaniHili neno kuchamba nina kama miezi sita kujua maana yake , huwa linanichekesha sana😅😅😅
Sikujuaga kama kuchamba lina maana nyingine tofauti na msalani bwashee 🤣Jamaa kaandika kwa kuwasema wasomaji kwamba hatujui XY kiundani
Ahaaa😄Sikujuaga kama kuchamba lina maana nyingine tofauti na msalani bwashee 🤣