Yeah hapo sawaImebidi ni-download VPN.
Imebidi ni-download VPN.
Alsingiziwa mabaya kama yapi mkuu???JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Soma madaAlsingiziwa mabaya kama yapi mkuu???
Inawezekana, cha msingi kama unaweza ipata kwa njia mbadala wanajisumbua wenyeweWatumiaji wa X (Twitter) mliopo JF, naomba kujua X kwenye vifaa vyenu mnaipata bila matatizo? Kwenye simu yangu tokea mchana wa leo X haifunguki: kwenye app na web.
Nimejaribu kutumia Proxy Server (United States) kwenye web imefunguka, nikajaribu tena kwa mtandao wa ISP (Halotel) haifunguki.