x wako anapotaka muonane huwa unafikiri anataka nini

x wako anapotaka muonane huwa unafikiri anataka nini

Mkubwa ndevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
1,045
Reaction score
358
1)murudiane
2) kukudhuru
3) akurudishie vi2 vyako ulivyompa km zawadi
4)akushukuru kwa kuachana nae na pia akutambulishe kwa m2 wake mpya
5)anashida anaomba msaada

kuwa huru useme unapopokea cmu ya ex wako unawaza kipi hapo
 
Sababu kubwa yaweza kuwa na 1. Ijapokuwa ni nadra kuisema moja kwa moja. Badala yake anaweza kupresent moja ya hizo zingine lakini lengo ni kuishia na 1.
 
Kama single wote,jua kusolve yaliyopita.Maana kama salamu,Simu zipo.
 
Sichukui,namwambia,kama huzitaki kazichome mote.au nachukua nazitupa.Maana zawadi nyingine ni nguo,kashavaa huko we.ntachoma moto.

bt yy kaona busara kukurudishia y unazikataa
 
Na kwa nini muendeleze mahusiano na ex wake especially kama kila mtu ana maisha yake na mtu mwingine? Hapo ndiyo mnataka kukaribisha matatizo kwa current relationship. Ukiachana na mtu hasa kama mlikuwa wapenzi ni bora iwe ni mwiko kutafutana!!!!! Ajaribu uone matokeo.
 
Inawezekana ikawa kufunga chapter ama healing process. Unakutana na mtu unamuangalia na kuridhika kuwa ulikuwa sawa kuachana nae na there is nothing worthy that u ar missing. Just looking at his silly smile lmao!
 
Mimi nikiachana na mtu sitaki hata simu yako wala mawasiliano,mimi nanunua na software yakublock namba yake kabisa haha usirudie matapishi ndio utakosa yote tena
 
Back
Top Bottom