x wako anapotaka muonane huwa unafikiri anataka nini

Kukupa kadi ya Mwaliko wa harusi yake..Lol
 
Kwenda kupokea malalamiko na masikitiko ili niwe nae tena.
 
1)murudiane
2) kukudhuru
3) akurudishie vi2 vyako ulivyompa km zawadi
4)akushukuru kwa kuachana nae na pia akutambulishe kwa m2 wake mpya
5)anashida anaomba msaada

kuwa huru useme unapopokea cmu ya ex wako unawaza kipi hapo

Itakiwa kakumbuka vitu kutoka kwako aka kavimis vinavyo mfanya akuusudu wakati wa madavidavi.
 
staki hata kuwaza na staki kujua anataka nini hiyo cm itaita na sms na delete kabla sijasoma asinipotezee mdaa....
 
kuachana na mpenzi wako si kujenga uadui, anaweza akahitaji chochote kati ya uliyataja inategemea na hitaji la mhusika.
 
kukumbushia

HASA UKIZINGATIA KUNA MSEMO HUSEMA MTALAKA HATONGOZI BALI ANAKUMBUSHIA. Nadhani hapa wakati mwingine anataka kukuharibia future tu maana anaweza kuwa na wake mwingine alafu anakuja kwako ukifanya masihara utalala kwake alafu baadae unasingizia shetani alinipitia
 

nimeipenda hii.mm nilipanda daladal nae siti moja, na kimyaaaaaa, tena leo
 
Kwe kweli nimefurahi wengne walivyochangia hasa hao waliosema kukumbushiana...hvi km kukumbushiana watafanya hvyo kwa wangapi?huu ni upuuzi ma x wengne si wastaarabu.
 
km kaja kukupa zwd zako ulizomnunulia kitambo hicho utazichukua
uchukue zawadi ulizomnunulia kwani umemwambia una shida nazo.........mimi nilimpa yeye kama anaona hazitaki basi akachome moto au akazitupe mana hata mimi sina shida nazo.
 
anatafuta second chance,ila anashindwa kukuambia but anatamani arudishe mazoea na wewe ili kuanza upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…