X-wangu 3 wanateseka hawaolewi

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Wanawake wa Sasa Wana shida ? X-wangu watatu Sasa hawaolewi walileta swaga za kuweka masharti magumu nikazengua Sasa wanateseka wamezeeka kabisa mmoja yupo35 Kama yupo 50

Mwingine yupo 33 Kama 45 na

mwingine yupo 30 wote kwa kipindi tofauti walileta uzungu kwenye mahusiano lakini Nina miaka 8 nimeoa mpaka leo wao wapo tu wanateseka

Mmoja jana kanipigia tumeonana duh yaani ni majonzi pamoja na kufanya kazi serikalini ila hana nuru kabisa kachoka!!


Ushauri wanawake oleweni early 22-25 mkizeeka mnatia huruma Sana !!
 
Nyie simnasema wanawake wa kikobazi wanaolewa mapema wakiwa wadogo, mnashindwa wanawake wanawai kuzeeka
 
Ushauri wanawake oleweni early 22-25 mkizeeka mnatia huruma Sana !!
Wengi wa umri huo huwa wanaendekeza u 'slay queen' kwanza hadi wanajikuta wapo nje ya wakati..
 
Sasa kwa nini hukumgegeda mwanawane...huyo ulivyokutana nae alikuwa anataka umgegede
 
Nadhani Watu wengi wanatatizo la kufanya maamuzi hapa nchini.

Unakuta mdada ana date na mtu for 4 - 5 years, Na hakuna kutambulishana wala mpango ya ndoa, kuja kushtuka jamaa anaoa mtu mwingine.

Uchumba mwisho miaka 2, unless otherwse jamaa awe kajitambulisha kwenu na viposa vya hapa na pale
 
Duh wao ndio kikwazo kwenye utambulisho wanaume hawanaga shida kabisa labda mwanaume awe kaoa mke mingine kabla hapo ndio uwa mwanamme anaruka

But girls wengi wanakwama hapo kujitambua kwenye mahusiano
 
Kutojitambua
 
Wao wanavojiweka lazima mwanaume aruke hata kama huyo mwanaume ana kila kitu cha kumpatia mwanamke.
 
Mwanangu juzi nimepata binti hyo nikasema nataka nmuoe akasema 22 years ye bamdogo hataki kuish maisha ya kupangiwa
 
Nikonect na huyo wa 33.
 
Aisee
 
Mkuu kama hawa wanaopitia chuo si wanaolewaga kule vyuoni. Mtu anaishi na mwanaume from first 1 mpaka 3rd yrs. Ndio maana vijana wengi now days wakisha kula hawarudi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…