X wangu kabeba mimba anasema ni ya mume wa mtu, lakini alikutana na mimi pia kipindi hiko, inaweza kuwa yangu?

Yako hiyo, ila tu kama hakusingizii..!!
 
Aiseeh ile kufika kweli naona anabonge la tumbo nikashangaa,

Sasa kwakua mtoto wa kimakondo ni fundi sijawahi ona nikapasha nae ka mara mbili hivi

Shida inakuja umri wa mimba unaangukia kipindi tulipasha kiporo na wakati huo huyo jamaa yake alidai alisafiri wana mda hakukutana kimwili

Ulifika Anatumbo tayar la mimba
mwisho unatuambia mimba ina umri wa siku mliopasha

Hivi unatuchukuliaje asee


CHAAAIIII

CHAAAIIIII


CHAAAIIIIIIIIII
 
Ulifika Anatumbo tayar la mimba
mwisho unatuambia mimba ina umri wa siku mliopasha

Hivi unatuchukuliaje asee


CHAAAIIII

CHAAAIIIII


CHAAAIIIIIIIIII
Kitu ambacho hujaelewa ni kwamba story ilianza mbele kisha ikaja kusimulia matukio ya nyuma... au hujasoma literature nn?
 
Sema tunatofautiana sana; yaani mwanamke amelala na wanaume wengine hadi akapata ujauzito lakini bado amekukamata, umeshindwa kumuacha hadi unakuja kuomba ushauri hapa!
By then nimesha achana nae, sasa ni marafiki tuu anajua nna mahusiano mengine pia kinachofanya tuwe karibu ni kwamba alinisaidia saana tulipokua wote.

Sema kabla hajapata ujauzito tukiwa tumeachana alikua akinisumbua saana tupashe nilipasha nae mara mbili tu kumsaidia last year na siku entertain tena hilo.
 
Mtu kachapika na mwanaume mwenzako hadi Mimba na bado anakwambia nilikuwa sitaki sema nakupenda wewe tu then Na wewe unaami i hadi unaleta uzi huku?
Oyaah ishu sio mapenzi coz me ndo nilpiga chini .... ishu ni mazingira ya mimba aliyobeba ndio yananitia shaka kwamba inawezekana ni ya kwangu
 
wewe mpya kwenye mapenzi ya watoto wa 2000s. nothing is true. mume wa mtyu alitaka kufanya nae, she is a hoe. wala hata usi hustle. also your nothing special mzee na hiyo mimba she wanted to keep it for money reasons. amna kipya. a nakupa story za alinacha
 
Kataa hiyo mimba hata kama mtoto akizaliwa anafanana na wewe mkatae kabisa. Mimi iliwahi ni kuta hiyo varangati nikalea mimba mtoto kaja ni copy yangu full, na lea weweeh lea mpaka chali akakua ila DNA ilikuja kuamua siyo mwanangu baada ya mama yake kujiroposha roposha hovyo.

Nb: yule mwanamke ni mpumbavu sana angepiga kimnya nisingejuaga maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…