X wangu kabeba mimba anasema ni ya mume wa mtu, lakini alikutana na mimi pia kipindi hiko, inaweza kuwa yangu?

Ebana ilikukuta wewe live mzeee😳😳😳
 
Umeambiwa mtoto sio wako, wewe unataka awe wako, kilaza we.
 
Mkuu mtoto copy yako kabisa na sio wako? Inawezekana hii kumbe?? kibaiolojia imepitishwa hii??
 
Tumia akili mjomba, yani hanaga hisia na huyo jamaa zaidi yako? 🀣🀣🀣 so mimba iliingia kwa uwezo wa roho mtakatifu au Bluetooth
 
Hiyo ni mimba yako kabisa mkuu, yule jamaa tulisafiri wote kweli hakuwepo kipindi unapasha na demu hakuwa safe.

Chukua kitu hicho mmakonde
 
Baba junia, junia hajambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…