Lakini ujue kwamba Chelsea ndio klabu bingwa ya dunia na walipata kombe wakiwa na kocha asiye Luis Enrique.Wamarekani wanapenda sana kuwapa timu makocha ambao kwao itakuwa ni rahisi kuwaburuza. Miaka kadhaa iliyopita Louis Enrique aliwafuata mpaka London na project yake ya kuirejesha Chelsea kwenye kuoambania makombe!
Kilichotokea walimpuuza na kumpa kocha mwingine nafasi. Baada ya hapo, Enrique leo anaipa tu PSG makombe, huku Chelsea ikiendelea kuwa gunia la mazoezo. Hivyo hata Xabi Alonso hata simtabirii makubwa iwapo tu hatapewa nafasi kubwa ya maamuzi ndani ya timu!
Kwangu mimi Andon Iraola was the perfect coach for Chelsea.
Tate Mkuu Andon Iraola ni kocha mzuri lakini hatufahi kwa aina ya wachezaji tulionao hawafiti mfumo wake. Andon Iraola anapenda soka la kasi anafaa zaidi kama akienda Liverpool wakati sisi tuna Enzo, Palmer, Joao Pedro ambao ni key figure hawana hiyo kasi na ndio maana wakaenda kwa Alonso ambaye soka lake halina tofauti sana na Enzo Maresca.Another factor waliozingatia ni kuwa Alonso tayari ana story ya kuchukua kombe la Bundesliga mbele ya Bayern na pia kafundisha team kama Real Madrid tayari imemtengenezea heshima kiasi ambacho itafanya wachezaji wetu wamuheshimu tofauti na tungeleta kocha mwingine ambaye Hana story ya kafundisha team kubwa au kuchukua kikombe na ndio iliyosababisha Rosenior afeli Chelsea.Wamarekani wanapenda sana kuwapa timu makocha ambao kwao itakuwa ni rahisi kuwaburuza. Miaka kadhaa iliyopita Louis Enrique aliwafuata mpaka London na project yake ya kuirejesha Chelsea kwenye kuoambania makombe!
Kilichotokea walimpuuza na kumpa kocha mwingine nafasi. Baada ya hapo, Enrique leo anaipa tu PSG makombe, huku Chelsea ikiendelea kuwa gunia la mazoezo. Hivyo hata Xabi Alonso hata simtabirii makubwa iwapo tu hatapewa nafasi kubwa ya maamuzi ndani ya timu!
Kwangu mimi Andon Iraola was the perfect coach for Chelsea.
Kwangu mimi makocha bora wa Chelsea ni Antonio Conte na Thomas Tuchel.Tate Mkuu Andon Iraola ni kocha mzuri lakini hatufahi kwa aina ya wachezaji tulionao hawafiti mfumo wake. Andon Iraola anapenda soka la kasi anafaa zaidi kama akienda Liverpool wakati sisi tuna Enzo, Palmer, Joao Pedro ambao ni key figure hawana hiyo kasi na ndio maana wakaenda kwa Alonso ambaye soka lake halina tofauti sana na Enzo Maresca.Another factor waliozingatia ni kuwa Alonso tayari ana story ya kuchukua kombe la Bundesliga mbele ya Bayern na pia kafundisha team kama Real Madrid tayari imemtengenezea heshima kiasi ambacho itafanya wachezaji wetu wamuheshimu tofauti na tungeleta kocha mwingine ambaye Hana story ya kafundisha team kubwa au kuchukua kikombe na ndio iliyosababisha Rosenior afeli Chelsea.
Lazima tukubali Abramovic hayupo tena namatumaini makubwa na Alonso viongozi wameshajifunza kwa matokeo mabaya tuliopata ndio maana wamempa role ya Manager badala ya kuwa kocha pekee kwahiyo atahusika na sajili zoteHii timu wamrejeshee tu Abrahamovic kwa muda.
Mourinho na Ancelotti unawaachaje kwa mfanoKwangu mimi makocha bora wa Chelsea ni Antonio Conte na Thomas Tuchel.
Maurinho alibebwa na nguvu ya pesaMourinho na Ancelotti unawaachaje kwa mfano
Binafsi sioni quality players Chelsea kwa sasa.Lazima tukubali Abramovic hayupo tena namatumaini makubwa na Alonso viongozi wameshajifunza kwa matokeo mabaya tuliopata ndio maana wamempa role ya Manager badala ya kuwa kocha pekee kwahiyo atahusika na sajili zote
Conte alichukua ubingwa wa Epl kupitia kikosi cha Mourinho na Conte hajawahi kuchukua ligi ya mabingwa ulaya kwanini umemtaja hapo?Maurinho alibebwa na nguvu ya pesa
Hao akuna aliyewahi chukua Champions league
Mbona wapo Enzo fernandez huyu kachukua kombe la Dunia na alikuwa ni mchezaji kijana Bora kwenye michuano lakini pamoja na kwamba msimu tulikuwa ovyo lakini Enzo fernandez ana namba nzuri, Palmer huu msimu wake watatu japo alikuwa majeruhi muda mwingi lakini ndio best player wetu, Jaoa Pedro ana contribution ya magoal na assist 20+ bila penalty msimu wake huu Tena ni wa Kwanza, James captain unajua ubora wake, Caicedo mkataba umeme hodari, Pedro Neto, Estevao, Levi Colwil, Cucurella, Joel Hato yupo vizuri na Gusto.Hao wote niliyokutajia ni wachezaji Bora ila wameathirika na msimu mbaya tulionao lakini individual ni wachezaji wazuri sisi tunawachezaji ila Kuna baadhi ya maeneo yalihitaji yaongezewe nguvu ila viongozi wetu wakatuua hiyo ndio iliyopelekea msimu huu uwe si mzuri na mnapokuwa na msimu mbaya hata wale wazuri wataonekana wabaya ngoja nikupe mfano Arsenal Wana wachezaji wakawaida mfano Madueke, Zubimend, Tossard, Gabriel Jesus, Kai havertz, Ben White, Martinell lakini team yao inaonekana ni nzuri ni kwasababu ya wachezaji wao wanajituma na mfumo mzuri wa uchezaji ambao unaoeleweka kwa kila mchezaji inaficha mapungufu ya mchezaji mmoja mmoja ndio maana wanaonekana ni team tishio kitu ambacho sisi tunakosa ndio unaona wachezaji ni wabaya lakini kiuhalisia haiko hivyoBinafsi sioni quality players Chelsea kwa sasa.
Uko sahihi Lakini hata mimi nasubiri kuona kama atafanya majukumu kama Manager na sio head Coach hasa kwenye usajili …. Nguvu kubwa zaidi katika kikosi cha Chelsea ni kiwango chao cha kiufundi. Reece, Hato, Colwill, Caicedo, Enzo, Palmer — hawa wote ni wachezaji wanaofaa mfumo wa mchezo wa kumiliki mpira, kutawala umiliki wa mchezo na kujenga mashambulizi kwa utaratibu. Huwezi kuomba kocha bora zaidi ya Alonso ili kuimarisha uwezo wa aina hii ya wachezajiWamarekani wanapenda sana kuwapa timu makocha ambao kwao itakuwa ni rahisi kuwaburuza. Miaka kadhaa iliyopita Louis Enrique aliwafuata mpaka London na project yake ya kuirejesha Chelsea kwenye kuoambania makombe!
Kilichotokea walimpuuza na kumpa kocha mwingine nafasi. Baada ya hapo, Enrique leo anaipa tu PSG makombe, huku Chelsea ikiendelea kuwa gunia la mazoezo. Hivyo hata Xabi Alonso hata simtabirii makubwa iwapo tu hatapewa nafasi kubwa ya maamuzi ndani ya timu!
Kwangu mimi Andon Iraola was the perfect coach for Chelsea.
Conte alichukua ubingwa wa Epl kupitia kikosi cha Mourinho na Conte hajawahi kuchukua ligi ya mabingwa ulaya kwanini umemtaja hapo?
Lakini kumbuka yote yalitokea kwasababu ya bifu la Mourinho na baadhi ya key figures wa team mpaka akawaita panya ambao ni Hazard, Diego Costa na Fabregas hao hao wachezaji wakawa muhimu kwenye kikosi cha Contekikosi cha mourinho ambacho kilashapoteza dira, msimu wa nyuma yake kabla ya conte killishia karibu nafasi ya 10
Lakini kumbuka yote yalitokea kwasababu ya bifu la Mourinho na baadhi ya key figures wa team mpaka akawaita panya ambao ni Hazard, Diego Costa na Fabregas hao hao wachezaji wakawa muhimu kwenye kikosi cha Conte