Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Tumalize utata, unamkubali nani hapo kati ya hao mafundi wawili mahiri kuwahi kutokea katika akademi ya La Masia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hakika wote ni mafundi sana. Kinachomfanya Iniesta afunge zaidi ni eneo analocheza, Xavi alikuwa anaituliza timu vizuri sana kutoka na uwezo wake mkubwa wa kumiliki mpira na pasi kiasi kwamba mapungufu waliokuwa nayo kina Pique yakawa hayaonekani, kuondoka kwake kumechangia sana Barcelona kudhoofika. Xavi ni pengo lisilozibika kwa urahisi.Iniesta nihatari kuliko xavi, xavi mtoa pasi ila iniesta anatoa pasi na anafunga.
Hahaaaaaawewe renzo daudi huyu zaviiiii alikuwa anapiga pasi kushinda timu pinzani hatari manchester united baada ya dakika 90 walikuwa wamepiga jumla ya pass 400 zaviii peke yake alipiga pass 800 wenyewe mtatoa majibu
Kuna style flani alikuwa qnakimbia na Mpira kwenye chaki, aside hawa watu ni mafundi sana!!!Iniesta nihatari kuliko xavi, xavi mtoa pasi ila iniesta anatoa pasi na anafunga.