Xavi kupewa Barcelona ni sawa na Lampard kupewa Chelsea, akipewa Conte au Klopp Barcelona itatisha Ulaya

Xavi kupewa Barcelona ni sawa na Lampard kupewa Chelsea, akipewa Conte au Klopp Barcelona itatisha Ulaya

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Usajili bora kabisa, lakini naona hawakuwa sawa kumpa timu Xavi, ile ilikuwa ni sawa na kubeti. Xavi ilibidi apate muda kuanzia timu za chini kwenye ligi shindani taratibu kama anavyofanya Gerard pale Aston Villa.

Barcelona ni timu kubwa, inahitaji makocha wenye uzoefu wa kuendelea kuiweka juu na siyo kupima viwango vyao. Conte na Klopp wanafanya kazi kubwa sana pale EPL.Yaani kikosi cha kwanza kikiwa uwanjani (Liverpool na Tottenham), huoni mtu wa kubadilisha matokeo kutokea bench, lakini bado timu zinafanya vizuri.

Nitawaona wajinga kama Liverpool na Tottenham zitawaacha hawa jamaa, na sizani kama zitainuka tena. Hawa ni miongoni mwa watu wanaoiweka juu EPL na pongezi wanastahili.
 
Hutokuja kuona Conte anapewa Team ya Barcelona kamweeee...! Na hii ni kutokana falsafa ya mpira ambao wanacheza Barcelona ni against konte anavyocheza

Conte sio muumini wa mpira mzuri Bali ni muumini wa kupata matokeo haijarishi team yake itacheza vipi

Barcelona wana falsafa yao ya namna gani wacheze, kwahiyo kulingana na hicho kigezo hapo mtoe konte na ushauri kuhusu kocha mwingine
 
Mbona walimpa kazi ronald koeman, nadhani hapa swala ni matokeo ya timu ndio muhimu.
 
Kwani zidane alipewaje Madrid na akabeba uefa 3 mfululizo [emoji4]
 
Barca haimpi mtu aliye kinyume na Falsafa zao kunoa timu yao kamwe.
 
Conte huyu huyu anayepaki Basi

Una kichaa were

Conte Hana tofauti na Sean Dyche Kocha wa zzaman wa Burney

conte anajifichia kwenye individual brilliance za Kane

kwasasa kashaua kiwango Cha Son sababu ya mpira wa kudefend , Richalson mech 10 goals 0 EPL

akiumia Kane ,Conte atagombea kushuka daraja
 
Mbona walimpa kazi ronald koeman, nadhani hapa swala ni matokeo ya timu ndio muhimu.
Kwani hujui Koeman amewahi kuwa Barcelona mkuu?

Koeman amechezea Barcelona na amewahi kuwa kocha msaidizi pale Barcelona kwahiyo hakuna kitu hakijui kuhusu utamaduni wa Barcelona

Na pia yeye mwenyewe Koeman ni muumini wa mpira mzuri, angalia team zote alizopita kufundisha labda ni Everton pekee ndio hawana falsafa ya kucheza mpira mzuri

Kwahiyo bado nasimamia Imani yangu kuwa konte ata Jua libadili upande wa kuchomoza hawezi kuja kufundisha club ya Barcelona
 
Conte huyu huyu anayepaki Basi

Una kichaa were

Conte Hana tofauti na Sean Dyche Kocha wa zzaman wa Burney

conte anajifichia kwenye individual brilliance za Kane

kwasasa kashaua kiwango Cha Son sababu ya mpira wa kudefend , Richalson mech 10 goals 0 EPL

akiumia Kane ,Conte atagombea kushuka daraja
kichaa mwenyewe, huwezi kuchangia bila kutoa lugha ya kuuzi??
 
Conte huyu huyu anayepaki Basi

Una kichaa were

Conte Hana tofauti na Sean Dyche Kocha wa zzaman wa Burney

conte anajifichia kwenye individual brilliance za Kane

kwasasa kashaua kiwango Cha Son sababu ya mpira wa kudefend , Richalson mech 10 goals 0 EPL

akiumia Kane ,Conte atagombea kushuka daraja

Akili yako haifanyi kazi kabisa
 
Back
Top Bottom