ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 May 23, 2024 #1 Xavier huyu Jina lake halisi ni Pakalu Papito ukimcheki Facebook utaona wasifu wake, alivyojiunga Twitter mara ya kwanza tu akapost hello Twitter am single, sifa yake kubwa ni ubishi. David na yeye picha yake imekuwa maarufu sana kwenye mitandao.
Xavier huyu Jina lake halisi ni Pakalu Papito ukimcheki Facebook utaona wasifu wake, alivyojiunga Twitter mara ya kwanza tu akapost hello Twitter am single, sifa yake kubwa ni ubishi. David na yeye picha yake imekuwa maarufu sana kwenye mitandao.
Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 3,840 Reaction score 6,844 May 23, 2024 #2 nimesoma hadi ulipoandika 'alivyojiungaga' mkuu jielimishe kidogo kuhusu lugha sahihi kabla ya kuleta bandiko hapa
nimesoma hadi ulipoandika 'alivyojiungaga' mkuu jielimishe kidogo kuhusu lugha sahihi kabla ya kuleta bandiko hapa
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 May 23, 2024 #3 Braza Kede said: nimesoma hadi ulipoandika 'alivyojiungaga' mkuu jielimishe kidogo kuhusu lugha sahihi kabla ya kuleta bandiko hapa Click to expand... what's your uncle's gender
Braza Kede said: nimesoma hadi ulipoandika 'alivyojiungaga' mkuu jielimishe kidogo kuhusu lugha sahihi kabla ya kuleta bandiko hapa Click to expand... what's your uncle's gender