Xenophobic Attack in SA, Huddah Monroe advices Nigerians To go back to their home country

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Socialite maarufu kutoka nchini Kenya [emoji1139], Huddah Monroe amewashauri wanaigeria wote waishio nchini South Africa kurudi majumbani kwao wakajitafutie huko kuliko kuwa watumwa katika nchi hiyo ya Makaburu. Mrembo huyo Ameyasema hayo kufuatia mashambulizi makali huko SA yaliyotokana na ubaguzi dhidi ya wageni.

Staa huyo alipost kupitia story yake Instagram , ambapo post hiyo ilifika moja kwa moja mpaka kwneye mtandao maarufu wa udaku nchini Nigeria huitwao INSTA NAIJA, ambapo baadhi ya wanaigeria walimuunga mkono mrembo huyo na wengine kumponda mrembo huyo na kumwambia kuwa yeye mwenyewe amekua hakauki kusafir nchini Nigeria na kulala na wanaume matajiri.

Wadau wengine walifika mbali na kumshauri staa kuacha kwenda Nigeria na yeye na badala yake ajitafutie ndani ya nchi yake na kuacha kudanga nchini Nigeria .

Mdau mwingine alimjia juu na kumlipua huddah kuwa utajir wote alionao umetokana na wanaigeria kwan mara nyingi amekua akisafir nchini humo na kulala na wanaume wenye pesa hivyo aache mara moja kutoa ushauri ambao Hata yeye haufuati

By warumi
 
Heri aje hukohuko nigeria wakenya hawatoi hela ndio mana unakuta muda mwingi wanawake wa kenya wanauza kwa kuvuka bahari
 
Kweli mwenyekiti wa wambea unapost uzi bila picha....suppporting evidence..!?πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…