Xiaomi 12S Ultra ni moto wa kuotea mbali

Xiaomi 12S Ultra ni moto wa kuotea mbali

Reuben Challe

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
2,940
Reaction score
5,511
Xiaomi wameachilia chombo cha Xiaomi 12S Ultra ilipofika July, 09, 2022
Xiaomi-12S-Ultra-review-29.jpg

Simu hii imeipita uwezo hata Samsung Galaxy S22 Ultra na bado kuna mtu humu nilimsikia anasema eti kwa Android simu ni Samsung na Google Pixel tu wakati hata Google Pixel 7 pro haifui dafu kwa Xiaomi 12S Ultra
Screenshot_20221204-171843.jpg

Hiyo hapo ju ni Xiaomi 12S Ultra ikiwa na software yake kali ya MIUI 13. Kamera ya nyuma ina 50MP tu ila S22 Ultra na 108MP zake zote, amekalishwa chini
Screenshot_20221204-171828.jpg

Hata specification zake zinatishia amani na display yake yenye mvuto ndo inanichanganya kabisa.
Screenshot_20221204-171903.jpg

Screenshot_20221204-171922.jpg
Iangalieni tena hiyo Xiaomi 12S Ultra, inatumia Qualcomm Snapdragon 8 Plus Gen 1, UNYAMA SANA
Screenshot_20221204-171937.jpg

Ikumbukwe, Xiaomi hawahawa walitoa simu ya kwanza kuzungukwa na diplay kuanzia mbele, pembeni hadi nyuma na kufanya simu hiyo iwe na mwonekano wa kipekee tena wa kifahari, yaani wa kitajiri. Simu yenyewe inaitwa Xiaomi Mi Mix Alpha hiyo hapo chini
Xiaomi--Mi-Mix-Alpha-746.jpg
xiaomi_mi_mix_alpha_mkbhd_7.jpg

Achilia hiyo Xiaomi pia waliachilia simu kali tena ni flagship iliyo na screen ndogo kwa nyuma yaani Xiaomi Mi 11 Ultra
gsmarena_000.jpg

Bila kusahau Xiaomi wana foldable phones pia, yaani inakunjuka kama kitabu na unaweza kuitumia kama tablet. Simu zenyewe ni Xiaomi Mix Fold na Xiaomi Mix Fold 2. Xiaomi Mix Fold 2 ina depth ya 11.2mm tu ambayo ni nyembamba ukilinganisha na Samsung Galaxy Z Fold 4 ambayo ina 15.4mm. Xiaomi Mix Fold 2 hiyo hapo chini
Screenshot_20221204-171731.jpg
Screenshot_20221204-174655.jpg

Kwa simu mpya za TSh 300,000 hadi laki nne, Xiaomi ana chombo kimoja hivi, kinaitwa Xiaomi Redmi 10C ambayo ni TSh 340000 tu kwa 4GB+64GB Version na TSh 380000 tu kwa 4GB+128GB Version. Yaani hii ni simu ya laki tatu tu ila inatumia Qualcomm Snapdragon 680, wakati simu kibao za bei hii zimeng'ang'ana na chipset za MediaTek Helio G35, Helio P22, Helio G25 na takataka nyingine. Kuna Samsung Galaxy A03 na A04 kwa bei hiyo ila zote hizi ni uchafu tu mbele ya Xiaomi Redmi 10C. Kwanza hebu iangalie Xiaomi Redmi 10C yenyewe hii
redmi-10c-feature-cropped.jpg

Sitaki kumsikia tena mtu yeyote anayesema Xiaomi ni TECNO zilizochangamka
 

Attachments

  • Screenshot_20221204-171828.jpg
    Screenshot_20221204-171828.jpg
    43.5 KB · Views: 50
  • Screenshot_20221204-171922.jpg
    Screenshot_20221204-171922.jpg
    31 KB · Views: 48
  • Screenshot_20221204-171937.jpg
    Screenshot_20221204-171937.jpg
    29.3 KB · Views: 52
  • Screenshot_20221204-171937.jpg
    Screenshot_20221204-171937.jpg
    29.3 KB · Views: 47
Natumia oppo find x5. Kinacho nifurahisha Charger 80watts 0 to 100% in 30 mins.
Oppo wana Charging system nzuri sana kwa uharaka wa kujaza betrii na kudumu kwa chaji kwa muda mrefu mno.

Picha zake ni HD na simu ziko faster kupakua chochote kwenye play store, google, YouTube pia hata kuangalia mipira, muvi n.k tena bila kukata kata.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom