Xiaomi redmi 9 za Tigo: Line za mitandao Mingine zinakua na performance sawa kimtandao kama Tigo (Unlocked)?

Superfly

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
985
Reaction score
2,066
Nmeona offer ya Hizi simu zikiwa znauzwa maduka ya tigo,na nmevutiwa nazo kweli. sasa hofu yangu ni kwamba zinaweza zikawa locked, yaan line ya Tigo ndo inakua na nguvu tu, japo kuna mdau kaniambia kuna possibility kuwa line zote znafunction bila kikwazo..
Ombi langu ni kwa yeyote ambaye amewahi tumia simu hizi za tigo atuwekee mrejesho basi ili tuwe huru kununua kitu safi kutoka Tigo.

 
Kuna mdau kaniambia kuna possibility zikwa unlocked,
Ambae amewah tumia mrejesho tafadhali

 
Kwa sasa simu zimetolewa ushuru , hivyo kwa recommendation ni bora uchukue simu kwa hao jamaa wa tigo maana simu zote kwao zimeshatolewa VAT na simu kubwa kama hiyo zipo unlocked na wanakupa warranty ya uhakika.
Sasa tigo manufaa kwao ni yepi???
 
Mkuu hazina shida ndio naitumia hapa.. chukua
 
Usinunue hizo simu.
Redmi 9 series zote zina matatizo ya hardware hata kampuni yao walishasema hilo.
Kwakuongezea tu nimeshatumia hiyo redmi 9 na ni kimeo kizuri tu.mwanzoni utaifurahia,subiri ukaekae nayo kwanzia mwaka hivi utaona maudhi yake!
 
Usinunue hizo simu.
Redmi series zote zina matatizo ya hardware hata kampuni yao walishasema hilo.
Kwakuongezea tu nimeshatumia hiyo redmi 9 na ni kimeo kizuri tu.mwanzoni utaifurahia,subiri ukaekae nayo kwanzia mwaka hivi utaona maudhi yake!
Hacha uongo wewe, mi simu ya kwanza kuagiza ni redmi 4a kipindi kile zinatoka hadi leo nimemuachia dogo anatumia, hapa natumia redmi note 7 na haijawai kuzingua miaka kadhaa sasa.
Labda useme mtk ila huwezi zifananisha na tecno unazouza nyie subirini tu mtolewe sokoni
 
Hii ninayoitumia haina shida laini yeyote inakubali na mtandao full full hakuna tatizo. Kanunue kama uwezo upo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]
 
Usilete hisia.mimi sio muuzaji simu.
Nimeongelea redmi 9 prime niliyotumia binafsi na haina tofauti na mitikenge(MTK) ya tecno na infinix kwa ukimeo!
elewa nilichoandika.
Nimeandika redmi 9 series sio simu zao zote.
Na hata wao wao wenyewe wamekiri mapungufu kwenye redmi 9 prime,9c,9a,note 9,poco m3 kua na matatizo bado unataka kuwabishia wenyewe!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…