kama simu gani mkuu naweza pata kwa laki 3 kwa maduka ya tigo.Simu ni redmi 9 kwa bei ya 280,000 unapata simu kali kuwahi kutokea kwenye maduka ya tigo
Chukua redmi 9 unapewa na gb 6 kila mwezi wahi tigo shop msimbazi kkoo, utakuja kunishukuru baadae, epuka tekno na nduguzekama simu gani mkuu naweza pata kwa laki 3 kwa maduka ya tigo.