Bwana Fulani
JF-Expert Member
- Mar 25, 2019
- 653
- 3,404
Kampuni ya electronics, XIAOMI, Imezindua simu mpya ( Xiaomi Mi 10 Ultra) yenye 4,500 mah battery inayoweza kwenda 0% to 100% charge ndani ya dakika 20 tu ikitumia official charger ya watts 120 🔥
Pia simu hiyo ina support 50 watts wireless charging ambapo itatumia 40 minutes pekee kujaa
Simu hiyo pia imepewa marks kubwa zaidi ya camera zake na mtandao wa DXOMARK, ikiwa na kamera inayoweza zoom 120 times (120X zoom) ikiipita Galaxy S20 Ultra iliyokuwa ikishikiria rekodi ya 100X zoom