Bwana Fulani
JF-Expert Member
- Mar 25, 2019
- 653
- 3,404
itatumia mnara upi sasa kamanda ?Mnatuchanganya watumiaji sasa nasubiri watoe isiyotumia chip kama radio call ukiinunua basi ni mkataba
aiseewatts 120
Kwa sasa ipo chinese version pekee inayoanzia $760, Global version itazinduliwa siku kadhaa zijazo.bei yake inafikia ya kiwanja pia?
Fast charger yako ina watts ngapi mkuu? πaisee
π π π tecno Y2 haina fast chajaFast charger yako ina watts ngapi mkuu? π
Hata Satelite kikubwa sisi tupate tu mawasiliano basi..itatumia mnara upi sasa kamanda ?
gharama za uko ziko juu ,Hata Satelite kikubwa sisi tupate tu mawasiliano basi..
Kumbee
Cost chief ikoje unajua tunachoangalia ni zile initial costs basigharama za uko ziko juu ,
kuna GPS tracker nazijua, zina deploy satellite na terrestrial, ukiwa maporini ambapo hakuna minara, ina switch to satellite
na gharama zinapanda