Xmas ndani ya bongo

Hivi kweli Kristo alizaliwa mioyoni mwao??πŸ˜•πŸ˜±
 
Huyu demu wa kwanza kulia alivyovaa hivyo na joto la bongo ni kukaribisha mi yeast infection....eeeek!!

 
Safi mkuu kwa kutuaptodet tulioko mbali na nyumbani. HERI ZA MWAKA MPYA ALL JF members na Washabiki wake.
 
Kwa hakika Dunia ipo pabaya! yaani tunashindwa hata kujua tunatakiwa kufanya nini siku ya xmass?
 
Hivi kweli Kristo alizaliwa mioyoni mwao??πŸ˜•πŸ˜±
Angh wewe banjuka tu....weka shida chini inua mikono juu...napenda sana our dadaz wamenipa faraja ya macho maana haikuwa na maana kutafuta angle of inclination wala mawani aagh Big up our dadazi kwa vivazi....
 
Hivi kweli Kristo alizaliwa mioyoni mwao??πŸ˜•πŸ˜±

Bimkubwa wewe ulitaka waonekane wenye huzunihuzuni,wavae magauni marefu,wakeshe kanisani siku nzima nk ndiyo uone kuwa kristo kazaliwa mioyoni mwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…