K Kilityme JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 218 Reaction score 574 Apr 1, 2017 #41 Hii hapa Gsam alikuwa kwenye Bet hip hop awards cypher 2009.... Attachments bet hip hop awards 2009 2.mp4 bet hip hop awards 2009 2.mp4 15.5 MB · Views: 32
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,443 Reaction score 3,002 Apr 1, 2017 #42 matumbo said: Kuna rapa kutoka Xplastaz ivi karibuni alipafomu kwenye tuzo za BET ile sehemu ya freestyle battle,simpati jina..huwezi amini hawa jamaa wanafahamika nje zaidi ya bongo. Click to expand... huyo ndo faza nel ilikuwa cyber ya BET mwaka nimesahau
matumbo said: Kuna rapa kutoka Xplastaz ivi karibuni alipafomu kwenye tuzo za BET ile sehemu ya freestyle battle,simpati jina..huwezi amini hawa jamaa wanafahamika nje zaidi ya bongo. Click to expand... huyo ndo faza nel ilikuwa cyber ya BET mwaka nimesahau
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,897 Reaction score 10,213 Apr 1, 2017 #43 B'REAL said: huyo ndo faza nel ilikuwa cyber ya BET mwaka nimesahau Click to expand... Aliyeperform BET alikuwa GSan na wakati huo Father Nelly alikuwa ameshafariki
B'REAL said: huyo ndo faza nel ilikuwa cyber ya BET mwaka nimesahau Click to expand... Aliyeperform BET alikuwa GSan na wakati huo Father Nelly alikuwa ameshafariki
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Apr 2, 2017 #44 Kilityme said: Hii hapa Gsam alikuwa kwenye Bet hip hop awards cypher 2009.... Click to expand... KAMA SIOGOPI MAJINI VIPI ITAKUWA SNIPER,LUGHA YA MAMA KAMA G-SAN KWA CYPHER BET USILETE DRAMA VIVA MAARIFA.
Kilityme said: Hii hapa Gsam alikuwa kwenye Bet hip hop awards cypher 2009.... Click to expand... KAMA SIOGOPI MAJINI VIPI ITAKUWA SNIPER,LUGHA YA MAMA KAMA G-SAN KWA CYPHER BET USILETE DRAMA VIVA MAARIFA.