XYZ shows



Yeah, already they are liking it, I once daw the topic about the show on NL, and clearly, whey were thrilled.

I feel bad about all the vitriols tgey pour on the ailing president, some even wish that he was dead. He doesnt deserve all that.
 
Bonge la ubunifu kwa bongo naona wakina masoud kipanya wanaweza kufanya hii .
 
Show hizi nazipenda sana; halafu inaonyesha jinsi gani Kenya walivyokomaa politically na wala viongozi hawasumbuliwi kabisa na hizi comics. Kuna nchi za kiafrika ukitoa show kama hizo unapelekwa kunakohusika
 
Hilo herufi la 's' inatoka wapi jamani kwenye 'The XYZ Show' ....

eti XYZ shows....

Bado saaana... nasema baaado saaanaaa... we have a long way to go!
 
Show hizi nazipenda sana; halafu inaonyesha jinsi gani Kenya walivyokomaa politically na wala viongozi hawasumbuliwi kabisa na hizi comics. Kuna nchi za kiafrika ukitoa show kama hizo unapelekwa kunakohusika
Pia kumbuka Gado ni Mtanzania,sasa fikiria kungekuwa na Mkenya anafanya hivyo hapa Tanganyika nadhani muda huu angekuwa yupo Nyeri kitambo Bongo anaisikia tu redioni.
 
Angalia hii ya mafuta huko Turkana na mambo mengine ya kisiasa nchini Kenya

 
Hakuna mkenya anaweza kuwa mbunifu kiasi hicho..lazima kutakuwa na mtu kutoka nje ya kenya anayehusika na kutengeneza vibonzo hivyo!
 
Ingawa hakuna mwanasiasa ambaye anapona mbele ya jamaa hawa, ila wanamuonea sana Kenyatta kuliko mwanasiasa mwingine yeyote.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…