Ya Aishi Manula kumkuta Chasambi ,hauzwi ila hatapangwa hata mechi moja wala reserve

Ya Aishi Manula kumkuta Chasambi ,hauzwi ila hatapangwa hata mechi moja wala reserve

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Aliwahi kusema Simba hakuna role model wake na role model wake ni Max Nzegeli
Sasa Nzegeli anatua msimbazi na Chasamvi anatua benchini mpaka mkataba wake huishe,

Sio kwajishuti lile
 
Hii ni kweli?
 
Attachments

  • IMG-20250207-WA0006.jpg
    IMG-20250207-WA0006.jpg
    37.3 KB · Views: 1
Hilo la manula ingekuwa anacheza Yanga alafu akafanyiwa kitendo kama hicho, kudadadeki wacha-mbuzi saa hizi wanapayuka kama paka wevi.....Ila kwakuwa timu Yao pendwa, wamekausha kama hakuna kinachotokea
 
5th

Kijili ile ni bahati mbaya ika chasambi ni makusudi
Yaani simba Kila mkifungwa ama kutoa sare basi mnahujumiwa, hivi ni utoto ama ulimbukeni? Mlipofungwa na Yanga, mchawi manula na Chama, badae kijili leo chasambi...mbona timu zote duniani zinafungwa ila hatusikii haya?; ili ufungwe ni lazima ufanye makosa, sasa nyie mnataka msifanye makosa?
 
Lile shuti alitaka kumuua kipa
 
Back
Top Bottom