Ya akina Slaa yakitulia: "tutaukumbuka ukimya wa marafiki zetu."

Naomba kumnukuu Dr Slaa hakuna sehemu duniani wananchi husema Fulani si mhalifu.

Mwisho wa kunukuu.
 
Politics is dirty game

Play wisely 🙌
 
Sisi WanaCHADEMA tujichunge na huyu Mzee asije akatuvuruga tukomae na jinsi ya kumtoa Mdude ni mtu wa maslahi ya kitumbua chake
 
Sisi WanaCHADEMA tujichunge na huyu Mzee asije akatuvuruga tukomae na jinsi ya kumtoa Mdude ni mtu wa maslahi ya kitumbua chake
Kwenye mambo yako ya kitoto usihusishe wengi.
 
Naomba kumnukuu Dr Slaa hakuna sehemu duniani wananchi husema Fulani si mhalifu.

Mwisho wa kunukuu.

Adui yetu hapaswi kuwa mtu bali hoja zake. Ukweli huo ni mwiba mchungu mno Kwa ma CCM.
 
Sisi WanaCHADEMA tujichunge na huyu Mzee asije akatuvuruga tukomae na jinsi ya kumtoa Mdude ni mtu wa maslahi ya kitumbua chake

Tutasimama na hoja kuntu za mtu so hoja fyongo. Slaa mwenye hoja fyongo so mwenzetu bali mwenye zile kuntu.

Hatutakuwa na adui wala rafiki wa kudumu bali agenda.

Aluta continua!
 
Sio lazima tuwe na mawazo ya aina moja kwasababu msimamo wa Chama haujatoka

Kwamba bado nani wako kimya? Kama hadi Nape kasema?

Ama kweli:

Heshima kwake Martin Luther.
 
Ila tof
Kwakweli NGOs za human rights ziangalie namna watu wanaovunja sheria wawe treated with dignity na haki za Mahabusu nk. lakini sio kuingilia mhimili wa sheria

Ila tofautisha wanaovunja sheria na watuhumiwa.

"Pia tofautisha kuhimiza sheria kufuatwa na kuingilia mhimili wa sheria."

Vinginevyo utakuwa kwenye kubwabwaja kipoyoyo poyoyo tu.
 
Ila tof

Ila tofautisha wanaovunja sheria na watuhumiwa.

"Pia tofautisha kuhimiza sheria kufuatwa na kuingilia mhimili wa sheria."

Vinginevyo utakuwa kwenye kubwabwaja kipoyoyo poyoyo tu.
Maana ya Human rights kwa Watuhumiwa,Mahabusu,na Wafungwa lakini iziache Mamlaka zetu za ndani zinazofanya kazi kwa mujibu wa sheria za Nchi ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…