Ni dhahiri sakata la CAG Prof. Mussa Assad na bunge ni kama vile moto ambao hautaki kuzimika, na bado ni sintofahamu hatma yake nani ataibuka kidedea. nawaza kwa sauti kama linaweza kutokea kama kilichotokea kwa Dr. Mwele Malechela.
Serikali ilimpiga fitna weeee kisa kasema ukweli, hatima yake akatumbuliwa. Wote tunajua dua la kuku halimpati mwewe, Dr. Mwele akala shavu kubwa kimataifa, yaani chura kapigwa teke.
Je, CAG wetu yanaweza kumkuta yaliyompata Dr. Malecela? atumbuliwe, halafu Mungu amfungulie mlango mpana zaidi kimataifa.