Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Pasco, Unajisifia interest rate ya 30% kwa mwezi. Huu ni uwizi na hakuna namna njema ya kuulezea zaidi ya hiyo. Kwa mwaka ni zaidi ya 360% ukicompound interest rates. No way kuna haja ya intervention kwenye Taasisi za hivi. Kuna tatizo la upatikanaji wa mikopo kutokana na hulka ya kutolipa but what the guys are charging imepitiliza. Kwanini usijenge huo uhusiano na benki au muwe na SACCOS zao?Mimi binafsi ni mkopaji mzuri Easy Finance kwa short time loans.
Jamaa ni wakombozi, ukiuthibitisha uaminifu wako, mkopo ndani ya saa 1.
Interest ni 30%pm. Ukirudisha kabla ya mwezi utatozwa 1% times days ulizochukua.
La mwisho Easy Finance unakwenda mwenyewe kwa shida/dhiki zako. Pale unapewa fomu unajaza kwa hiari yako. Masharti yako wazi, unasign unapata pesa na kuondoka kwa furaha, walalamishi wote ni wale 'kulipa matanga' na kusema kweli watu wa type hii wanafabanwa mbavu na ndio hawa wanaolia lia humu.
Dawa ya deni ni kulipa kwa wakati vinginevyo usikope!.
Pasco, Unajisifia interest rate ya 30% kwa mwezi. Huu ni uwizi na hakuna namna njema ya kuulezea zaidi ya hiyo. Kwa mwaka ni zaidi ya 360% ukicompound interest rates. No way kuna haja ya intervention kwenye Taasisi za hivi. Kuna tatizo la upatikanaji wa mikopo kutokana na hulka ya kutolipa but what the guys are charging imepitiliza. Kwanini usijenge huo uhusiano na benki au muwe na SACCOS zao?
Ndugu yangu hili soko linahitaji kuwa regulated. Hivi wapi watakopa kwa interest kubwa hivyo? ndio mara nyingi utasikia wananchi wanalalamika deni haliishi. Hawa wanachokifanya ni kutumia ujinga wa wakopaji katika kuwaibia. Ni bora wananchi wajiunge wao kwa wao, na waandae taratibu zao hata kama za kimila zinaweza kuwasaidia. Nakumbuka miaka ya nyuma wanawake walikuwa na mchezo kwamba wanakusanya pesa halafu siku ikifika wanampa fulani yaani wanakuwa wanazunguka. Hizi njia ambazo wananchi ambao hawana elimu kubwa wanazobuni wenyewe kama watasaidia kuziboresha ndio zitakazowakomboa, ila hawa wengine wanawaibia.Nilicho muelewa pasco ni kuwa huko unakwenda mwenyewe bila kulazimishwa na mashariti na mkataba unasoma na unasaini kuonyesha kukubaliana nao kwa hizo rates za kiwizi.
Sasa iweje leo wakati wa kulipa uanze kulalama as if ulikua hujui kitu.
Nakubaliana na wewe rate zao zipo juu sana lakini sasa mabenki nayo utata mtupu kupata mkopo.
ANFAAL....BENK WANA URASIMU MWINGI SI WAKOMBOZI KWA WATAFUTAO MIKOPO......EASY FINANCE NI WALAFI NA WATU WANAPATA MIKOPO..........!
my take: wote si suluhisho la hali ngumu kwa watu wadogo..but vigogo wananeemeka
Acid, watu tunachanganya vitu hapa. Kuna risks hazitokani na wabongo yaani ni tofauti na default risks. Ila kuna risks zinatokana na inflation na hasa depreciation ya value ya currency. lakini pamoja na haya, hawa watu wanaiba. Jipe muda ifuatilie benki ya CRDB faida zake na mabenki mengine. Yaani utachoka. Hii high interest rates itaondolewa na competition na pale watu watakapoboresha informal means za kukopeshana wao kwa wao. They are reaping our money. Hivi unajua deposit yako inapewa interest kiasi gani???risk yao kukopesha wabongo ni kubwa hivyo high interest rates ni inevitable... na benki zetu unapimwa hadi damu ni ukiritimba na rushwa pia
ila la kutesa wakopaji hilo nikosa.... BTW, wanapata wapi nguvu ya kutesa watu?
mkuu... ni kweli kabisa... kumbuka hata hizo benki tunalipa 15-23 percent tukikopa kama interest (ingawa muda wa kulipa ni mzuri)... tukiweka wanakupa chini ya 1 unless umeweka nyingi na ni kwenye FDAcid, watu tunachanganya vitu hapa. Kuna risks hazitokani na wabongo yaani ni tofauti na default risks. Ila kuna risks zinatokana na inflation na hasa depreciation ya value ya currency. lakini pamoja na haya, hawa watu wanaiba. Jipe muda ifuatilie benki ya CRDB faida zake na mabenki mengine. Yaani utachoka. Hii high interest rates itaondolewa na competition na pale watu watakapoboresha informal means za kukopeshana wao kwa wao. They are reaping our money. Hivi unajua deposit yako inapewa interest kiasi gani???
Anfal nimekueleza ni short term loan hivi umefiwa leo mazishi kesho benki gani itakupa milioni moja au mbili within one hour?. Ukirudisha hiyo pesa within 10 days interest ni only 10% kuna ubaya gani?. Benki gani inatoza 10% interest?. Benki yangu ni CRDB proces ya quick loan takes 14 days na interest ni 20% sasa lipi afadhali, ukope ujisetiri na shida yako au usubirie michango ya daftari la rambi rambi uadhirike?. Wafaidika wakuu wa mikopo kama ya Easy Finance ni watu waaminifu wenye shida genuine.Pasco, Unajisifia interest rate ya 30% kwa mwezi. Huu ni uwizi na hakuna namna njema ya kuulezea zaidi ya hiyo. Kwa mwaka ni zaidi ya 360% ukicompound interest rates. No way kuna haja ya intervention kwenye Taasisi za hivi. Kuna tatizo la upatikanaji wa mikopo kutokana na hulka ya kutolipa but what the guys are charging imepitiliza. Kwanini usijenge huo uhusiano na benki au muwe na SACCOS zao?
Hapa ndio ambapo nimekuwa nikisema. Watu wanaibia kutokana na kutokujua. Hiyo interest Pasco si ya 10% kama unevyojiridhisha. Ukisema 10% inaamana ni per annum. Ndio maana kwenye swali lako unaridhisha kuwa benki gani inatoza interest ya 10%. For your info hiyo loan yako ni very expensive yaani ukiipeleka kibenk based on the number of days (10 days), kwa benk ni between 1-2% and not more.Anfal nimekueleza ni short term loan hivi umefiwa leo mazishi kesho benki gani itakupa milioni moja au mbili within one hour?. Ukirudisha hiyo pesa within 10 days interest ni only 10% kuna ubaya gani?. Benki gani inatoza 10% interest?. Benki yangu ni CRDB proces ya quick loan takes 14 days na interest ni 20% sasa lipi afadhali, ukope ujisetiri na shida yako au usubirie michango ya daftari la rambi rambi uadhirike?. Wafaidika wakuu wa mikopo kama ya Easy Finance ni watu waaminifu wenye shida genuine.
Bado nasisitiza Easy Finance ni wakombozi?.
watu amkeni,kuweni macho. if the loan is not from a bank,ujue its an outfit of LOAN SHARKS hao easy finance na wengineo ni loan sharks. pole sana