Ka vipi wafunge vyuo kuliko kuendelea kupoteza pesa nyingi kwa mashirika ya umma kama hivyo vyuo kuvipa ruzuku halafu most gladuates wanakaa bench,ni bora hizo pesa wabuni miradi ya maendeleo ifaidishe wengi.Inasikitisha kumuona muhitimu wa sheria ud anafungua kibanda cha mtumba kitaani,hatukatai amejiajiri lakini taaluma yake aliisomea kufanyia hizi biznes? Si bora asingethubutu kukanyaga hata chuo kwa style hii ya kula bench.Vijiweni kwenye kahawa graduates kibao ila kwa upande wangu sijawaona wa SUA, ARDHI na MUHIMBILI sijui kwa kuwa fani zao bado zinaitajika au vipi,ila vyuo vingine wako weng sana wanafanya shughur za kawaida majumbani.