Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Unanisukuma nakuangalia ila ujue nikifika ukutani sitokuwa na sehemu ya kwenda.
Umeshanifikisha ukutani kwa "ugobo wako" narudia tena kukurai niache bwana kwani mimi ni mtu mwema lakini bado husikii tu ,unanikwida shati na kutaka kuninin'giniza kwa kidole kimoja 😲😲
Hata huyo chawa tu havunjwi kwa kidole kimoja.Nimechoka kuvumilia manyanyaso haya.
Binadamu kiumbe wa ajabu sana ubaya atasema, ukiwa mwema vivyo hivyo.
Mwendawazimu yule eti anasema anamkumbuka hayati Mwanamwema wa Afrika El Commandante John Magufuli , eti bora yake kuliko huyu wa sasa. Amesahau matusi yake kwa hayati kuwa ni DIKTETA UCHWARA.
4R's ziko mbele ya macho kutufanya tuwe bora zaidi lakini wapi kwa ubaguzi wa KANDA NA MAENEO TUTOKAKO wameamua kumwandama kipenzi chetu. Hawa "misogynists" wanaowadharau wanawake na kuwaona ni duni wamekuja na staili za hovyo mno. TAHARUKI TAHARUKI TAHARUKI.
Ionekane kiongozi ameishindwa nchi, ionekane Mzanzibari hafai kuwa kiongozi mkubwa, ionekane kuwa akina MAGRETH THATCHER hawazaliwa Afrika.
Fikra mbovu kabisa hizi kuzipuuza ni kutaka tuwe kama Sudan, uwe kama Lebanon tuwe kama Ethiopia na kule Mali.
Nchi za Afrika zinabomoka kwa kutumia wenzetu wenye fikra za hovyo kupitia elimu kubwa na ujanja wa kiliberali.
Mwananchi sitaki kuiona nchi yangu ikiingia katika Machafuko kisa maslahi koko ya watu wachache mamluki.
Yaani nisitafute dona langu kuvilisha vitoto vyangu hapa mkahawani nishughulishwe na kimbiakimbia kama vile niko Kivu ya Kaskazini kule Goma.
Hivi ni kweli S 23 wamewaiga M 23 kwa njia za kificho ?!!!
Tanzania yetu tutailinda wenyewe kwani heri ya njaa katika utulivu kuliko njaa katika Machafuko na vurugu za wenyewe kwa wenyewe.
Mwenyezi Mungu mlinde Rais wetu chifu Hangaya dhidi ya MAFATANI aaamin aaaamin.😍
Mwenyezi Mungu tulinde wananchi wa Tanzania na dola letu aaamin aaaamin 😍
#Nchi Kwanza KABLA ya yeyote na chochote 😍
#Serikali mbili za JMT Milele dumu, aaamin aaamin😍