rajiih
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 489
- 744
Habari wakuu wa Jf poleni na majukumu ya kazi na simanzi ya Janga letu la pale Kariakoo.
Ukifuatilia muenendo wa Vita huko Gaza ni dhahiri kabisa nafsi yako itakuuma na Mauwaji ya haraiki kila kukicha huku Dunia ikikaa kimya pasi zuio au katazo lolote dhidi ya dhulma hii ya wana Gaza. Je ni nini kipo mbele ya hii Vita?! Kwanini US na mpwa wake UK wanahakikisha Mauwaji haya yanaendelea kila kukicha pasi na Ukomo?!
Kwa akili ya haraka ni ngumu kuamini kwamba Hamas bado watakua Mateka wa Israel ni ngumu na haiwezekani. Kwa imani na itikadi ya Waislamu dhidi ya Wayahudi.
Swali ni kuwa Israel na washirika wake hawajaridhika tu na walichokifanya Gaza mpka sasa?! Na Kwanini waendelee kuua watoto na wagonjwa wakiwa Sanctuary na Hospital.
Nadhani ni wakati wa US na Uk kukatisha msaada wa Kijeshi kwa Israel. Mwanzo nilimuelewa Biden kama mtu mpole sana na mwenye Hofu ya Mungu Mkuu ila kwa bahati mbaya Mungu wao wanaomuabudu anautia wasiwasi Ulimwengu kwa sera zake za Mauwaji kupitia Vita.