Ya jana si ya leo

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
258
Wana jf hata maisha ndivyo yalivyo kama ulifaidika jana tegemea mabadiliko ya aina yoyote aidha mazuri kuliko jana au mabaya. check hii attachment.
 
Duh... Lazima aliwe huyo... Nimeshaona Manyowa... Na waswahili husema... UKIONA MANYOYA UJUWE KALIWA!!!
 
Hii ya siku ya pili lazima a loose 10 kilos, kuliwa tigo sio mchezo!!
 
kwa staili hii kama akisalimika, nadhani jamaa atakuwa tayari kuongezeka hata kilo 100 na hapo hatarudi tena!!
 
Hiyo niliiona kwenye Comedy ya Futuhi....wale wa rock city.
Hata hivyo inatimiza maandiko "Ole wao walao, maana nao wataliwa"
 
Hiyo niliiona kwenye Comedy ya Futuhi....wale wa rock city.
Hata hivyo inatimiza maandiko "Ole wao walao, maana nao wataliwa"

TZPRIDE,
Au ile ya muosha huoshwa.
 
Kakuruvi na Bulesi mko sawa kabisa. Mkijua hivyo mtakuwa salaama...maana hutataka cha mtu ati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…