Ya Kenya kujirudia Tanzania Team Hustlers(Bashiru) vs team mabwenyenye

Ya Kenya kujirudia Tanzania Team Hustlers(Bashiru) vs team mabwenyenye

Kiutani utani tu popularity ya Bashiru imeongezeka ghafla Sana yeye ni Team Hustlers anawapigania wanyonge wacha nao wanaowapigania mabwenyenye tuwaone wanaendeleaje
Popularity ipi hiyo? Kwa jinsi katiba ya CCM ilivyo hakuna mtu anaweza pambana na Rais akashinda!! Labda aanzishe chama chake Ili ashughulikiwe na TRA na Polisi!!

Bashiru alikua popular kipindi Kuna sintofahamu baada ya kifo cha JPM angeanza mapigo kipindi kile Hadi akaanzishe chama angekua na momentum kubwa. Sasa ameshachelewa sana Mama kaweka mizizi kwenye mfumo so hakuna namna ataangushwa na Hawa Team JPM.
 
Kiutani utani tu popularity ya Bashiru imeongezeka ghafla Sana yeye ni Team Hustlers anawapigania wanyonge wacha nao wanaowapigania mabwenyenye tuwaone wanaendeleaje
Acha kumfananisha Ruto na wapuuzi wewe. Huyu anayehubiri ujamaa kwenye Karne ya 21 ambaye akiwa mtendaji mkuu wa chama serikali yake ilifreeze account za wafanyabiashara na kutesa wawekezaji ndo unamuita hustler?

Amka usingizini
 
Haha siasa za Tz ni tofauti sana na Kenya... Ndani ya CCM huna uwezo wa kupambana na mwenyekiti never utazimwa kama kibatali, bashiru ashakuwa katibu CCM anajua Hilo...
 
Back
Top Bottom