Ya kichina Makubwa

si ndio hapo sasa

vichina vyenyewe bapa ka tv-plasma, kazi kudanganya dada zetu tu

Wachina hawawadanganyi wakinadada bali ni wadada wenyewe na tamaa zao na kutojiamini ingekuwa wanadanganywa basi wanawake wote wangeweka mchina. Mbona tupo wengi tu tumeridhika na shepu tulizopewa na mungu? Sisi wanawake ni wajinga sana hivyo hivyo ulivyo unaweza kupendwa, kwani hata ukiweka mchina mtu anaweza kukufata (ukafuatwa na wengi tu) na nia yao wengi ni kuchungulia ulivyo tu na anaishi zake na kukuacha na hilo wowowo lako na matokeo yake baadae unapata madhara. Wanawake turidhike na mungu alichotupa jamani tunatia aibu lol
 
naskia kuna meno ya kuvaa siku hizi

balaa, mtu akiiondoa spare zote ukimcheki unazimia

hehee hii hatari.
kuna kidevu cha bandia.nywele,rangi,kucha,kope,shepu.akitoa vyote anakua someone else.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…