Kuna mtu alipata kunambia kuwa kuna sensor fulani inayotambua mtu anaposema UWONGO...Sijui kinauzwa bei gani kifaa hiki, lakini kingesaidia sana endapo tungemuwekea huyu Makame wakati akionge kauli hizi, maana alikuwa anatokwa jasho sana, na uso wake ulionyesha mashaka!!M/kiti wa tume ya uchaguzi wa TZ alipoulizwa kwanini matokeo ya urais anayotangaza yanatofautiana na yaliyobandikwa kwenye vituo alijibu kuwa hayo yaliyobandikwa hayajahakikiwa kwani wanaohakiki ni TUME.Je kuhakiki ni kubadilisha tarakimu?Wanaofahamu watujuze.
Kuna mtu alipata kunambia kuwa kuna sensor fulani inayotambua mtu anaposema UWONGO...Sijui kinauzwa bei gani kifaa hiki, lakini kingesaidia sana endapo tungemuwekea huyu Makame wakati akionge kauli hizi, maana alikuwa anatokwa jasho sana, na uso wake ulionyesha mashaka!!
Lakini uwongo uzeeni ni mbaya sana, maana unaweza kumrudi kwa kumpa pressure yeye mwenyewe, mkastuka anaanguka!