Elections 2010 ya lacairo haya hapa aibuuuuuuu

kuna mzushi alikuwa ananizingua ikabid nimchape nayo....huyo anajiita geniuos brain
 
Kaka kwa ufupi ni kwamba hii ilishabanmdikwa hapa zamani kabla ya kuanza uchaguzi!
 
mambo ya kukurupuka hayo kila mtu kujidai ana data mmmhhh
 
Siyo vibaya kuipost mara ya pili; hii itasaidia wale waliokuwa wanaelekeza shutuma kwa Dr, Slaa, wazielekeze kwa mwenzao aliyetoboa siri
 
kuna mzushi alikuwa ananizingua ikabid nimchape nayo....huyo anajiita geniuos brain

Hii tulishaona ages nyuma!!!

Jifunze kupitia mambo ya humu mkuu!!!

PJ, amepata sheria za jamvi huyu? He/she seems very new!!
 
bado tunataka kipi zaidi


Inasikitisha lakini sina mbavu kwa kicheko! Walichokuwa wakikibisha ni nini? Tena imeandikwa na mtu ASIYEJUA kutumia vizuri MS Word! Yaani imekaa shaghalabhaghala! Kawaida yao! Hii ni authentic kabisa! LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…