Ya Mange Kimambi na Chagga Barbie Yawafunze Enyi Watanzania.

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Kwa wale mnaotembelea insta mara kwa mara hasa habari za mastaa na udaku wa hapa mjini mtakuwa mnaijua page ya The Original East. Nadhani baada ya page ya Mange Kimambi hii ndio page inayoshika namba 2 kwa habari zake kuaminika na wengi.

Pamoja na kuaminika kwake, mmiliki wa hii page alikuwa hajulikani lkn yeye alikuwa anajinasibu kwamba anaishi UK. Kutokana na habari za hii page pamoja na uandishi wake kufanana sana na wa Mange Kimbambi watu wengi walishawishika kusema hiyo account anamiliki Mange Kimambi.

Ukweli ni kwamba hiyo account haikuwa ya Mange Kimambi, lkn kwa sabab walikuwa na the common interests basi waliweza kuivana sana. Kipindi Mange anaendesha kampeni za maandamano mwaka jana aliitangaza sana hii account kwamba watu waifollow kwani ilikuwa upande wa wananchi.

Lakini urafiki wa wachawi huwa haudumu. Hatimaye leo Mange kamtaja mmiliki halisi wa hii page, ambaye ni Stella Tillya a.k.a Chagga Barbie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii imekuwa km surprise kwani watu walikuwa hawana mawazo kabisa kwamba Chagga Barbie ndiye mmiliki wa The Original East. Hii ni kwa sababu ya historia yake iliyojaa utata na matongotongo mengi.

Hili liwe funzo kwa vijana wengi wa tz wanaopenda kushabikia mambo ya mitandaoni bila kutumia akili. Hawa celebrities washatuona watz hatuna akili sana mpk wanaamua kitufanya mitaji. Amkeni vijana achaneni na mambo ya u-team, tumieni akili zenu kuchanganua mambo nje ndani ndani nje kabla hamjafanya conclusions.

Screenshot zinakuja.
 
insta kujiunga sawa na kuto timiza miaka ya kuitwa mtu mzima.maana vichaa wote,wajinga,wapuuzi,waongo,wapenda sifa wapo humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…