minda
JF-Expert Member
- Oct 2, 2009
- 1,068
- 67
imepata kusemwa siku chache zilizopita kuhusu sintofahamu ya mpendazoe kushindwa kura za maoni katika jimbo la segerea na kuibukia kinondoni kabla ya tetesi kuenea kwamba huko segerea amekata rufaa.
mkuu yeyote mwenye habari za uhakika atutaarifu tuweze kujua kuhusu huyu kamanda aliyeamua kujitoa mhanga kwa sababu ya taifa lake hadi kupelekea kukosa kiinua mgonga cha ubunge.
mkuu yeyote mwenye habari za uhakika atutaarifu tuweze kujua kuhusu huyu kamanda aliyeamua kujitoa mhanga kwa sababu ya taifa lake hadi kupelekea kukosa kiinua mgonga cha ubunge.