Mpendazoe bado anahitajika jimboni segerea.. Kinondoni walimhitaji lakini akijubu kuwa "Charity starts at home" Kishapu ni nyumbani kwake alikokulia na segera ni nyumbani kwake na familia yake.
Pia Segerea wameonesha dhahiri kuwa Mpendazoe ndio chaguo lao. Ninaamini kuwa rufaa itasikilizwa na kutolewa majibu yanayo hitajika na wanchama na wanachi wa Segerea kwa ujumla.
Mimi binafsi ninnashauku ya kupata habari kuhusu muafakaw wa mjadala huu. Majibu yatapatikana pale tuu Chadema watakapo yatoa na ndio wenye usemi.
Kumpoteza Mpendazoe bungeni kutakuwa ni hasara si tu kwa watu wa Kishapu, Kinondoni na Segerea bali kwa taifa. Ameonesha mapenzi ya dhati kwa nchi na wanachi si tu kwa kuaca lundo la mahela bali kusimama kidete na kuisema serikali na chama Tawala.
Nadhani atapita.... Tumuombe😛layball:
Kura zilipigwa na akashindwa hakuna jingine. Ronald Regan aliacha uraisi huku watu wakimlilia lakini hakuna njisi. Mpenda zoe tunampenda lakini demokrasia ilmkataa na timing zake mbofu za kukimbilia segerea. Una jua yeye na mwanakijiji walitaka kuifanya nini chadema na habari yao ya sera?
Chadema italikosa jimbo la Segerea "kijinga", kalaghabao!!
Walikuwa na choice ya wazi kabisa ya kumuweka mbunge wa Segerea, lakini wakaendekeza kujuana.
Kweli kama uchaguzi utafanyika kwa kuhonga na kutoa rushwa basi mpendazoe ni best candidate kwa ni anayajua hayo na fedha anayo. lakini kama kampeni itapigwa na wananchi watakuwa na uamuzi wa kuchagua mtu atakaye wawakirisha basi Rachel Mashishanga atakuwa ni candidate mzuri.
Mtapiga kelele na kulia lia mwanzo lakini baadaye mtamzoe atu Rachel na wapiganaji wa kweli mtamuunga tu mkono anapo lichukua jimbo la Segerea. Makongoro hapati ubunge labda wampe watu wa buguruni
Kura zilipigwa na akashindwa hakuna jingine. Ronald Regan aliacha uraisi huku watu wakimlilia lakini hakuna njisi. Mpenda zoe tunampenda lakini demokrasia ilmkataa na timing zake mbofu za kukimbilia segerea. Una jua yeye na mwanakijiji walitaka kuifanya nini chadema na habari yao ya sera?
Mpendazoe bado anahitajika jimboni segerea.. Kinondoni walimhitaji lakini akijubu kuwa "Charity starts at home" Kishapu ni nyumbani kwake alikokulia na segera ni nyumbani kwake na familia yake.
Pia Segerea wameonesha dhahiri kuwa Mpendazoe ndio chaguo lao. Ninaamini kuwa rufaa itasikilizwa na kutolewa majibu yanayo hitajika na wanchama na wanachi wa Segerea kwa ujumla.
Mimi binafsi ninnashauku ya kupata habari kuhusu muafakaw wa mjadala huu. Majibu yatapatikana pale tuu Chadema watakapo yatoa na ndio wenye usemi.
Kumpoteza Mpendazoe bungeni kutakuwa ni hasara si tu kwa watu wa Kishapu, Kinondoni na Segerea bali kwa taifa. Ameonesha mapenzi ya dhati kwa nchi na wanachi si tu kwa kuaca lundo la mahela bali kusimama kidete na kuisema serikali na chama Tawala.
Nadhani atapita.... Tumuombe😛layball:
Mimi ni mpiga kura ktk jimbo la segerea, nasubiri kwa hamu na jeuri kubwa kumpigia kura huyo bwana ili kuonyesha kuwa nguvu ya umma iko nyuma ya wapambanaji dhidi ya mafisadi - makongoro, rostam, lowasa na sisiem yao!!!!
Fame, kupendwa, kunaendana na timing pia, hasa katika mambo ya siasa. Huyu Bwana ni mahiri katika kila kitu ila nadhani amekosea timing, ... technical mistake. Kama amefaili rufaa however, nina imani nguvu ya umma iko nyuma yake na atashinda. Tunamhitaji mno katika bunge lijalo, kusema ukweli!
Magazeti yameandika na kamati kuu imefanya udicteta kumrudisha sasa moto unawaka segerea.Kiinua mgongo alipewa chote na ziada tena ili aje afanye kazi ya kuisambaratisha chadema.Sasa kweli kaweza coz viongozi wa kata wamegoma wote sasa atafanya kampeni na nani?Umaarufu kaupata juzi alipoondoka bungeni hana lolote mi namuona kama mafisadi wengine tu.imepata kusemwa siku chache zilizopita kuhusu sintofahamu ya mpendazoe kushindwa kura za maoni katika jimbo la segerea na kuibukia kinondoni kabla ya tetesi kuenea kwamba huko segerea amekata rufaa.
mkuu yeyote mwenye habari za uhakika atutaarifu tuweze kujua kuhusu huyu kamanda aliyeamua kujitoa mhanga kwa sababu ya taifa lake hadi kupelekea kukosa kiinua mgonga cha ubunge.
shibuda yuko chadema na anagombea kulekuleVipi kuhusu Shibuda kesha hamia rasmi CHADEMA
alishindwaje kura za maoni???Mpendazoe bado anahitajika jimboni segerea.. Kinondoni walimhitaji lakini akijubu kuwa "Charity starts at home" Kishapu ni nyumbani kwake alikokulia na segera ni nyumbani kwake na familia yake.
Pia Segerea wameonesha dhahiri kuwa Mpendazoe ndio chaguo lao. :
Kama alivyosema mtu mmoja wapo juu, kosa kuu la Mpendazoe lilikuwa ni timing na strategy mbovu. Kwa mfano kabla ya kuamua kugombea jimbo la Segerea, alitakiwa kwanza awasiliane na viongozi na wanachama wa chadema huko Segerea ili apime hali ya hewa kabla hajajitupa. Naona kama vile alikurupuka bila kujua anakwenda wapi, kwani siku aliyojiunga na CHADEMA tu akatangaza kugombea jimbo lile na kuliachilia la nyumbani kwao ambako alikuwa anajulikana miaka mitano iliyopita. Sasa yeye aliingia kuwania tiketi ile akiwa kama outsider bila kujua insider walikuwa wanamchukuliaje. Nina imani kuwa kama angejadiliana na viongozi na wanachama wa chadema huenda yule aliyeshinda angempisha, au huenda hata angeweza kupata kura zaidi ya alizopata.