Ya Mpina: CCM akili kubwa lakini wenye ufahamu wanaelewa

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,198
Reaction score
5,454
Kukatwa kwa Luhaga Mpina ni kuionyesha dunia kwamba ACT si projekti ya CCM. Na pia kuonyesha kwamba POLEPOLE anaongea uongo.

KWA WENYE UFAHAMU IKO HIVI KWA KIFUPI KABISA.

Mpina aliandaliwa na mpango huu ni wa MPINA+CCM+SAMIA kwa upande mmoja , ZITTO NA CCM NA MSAJILI KWA UPANDE WA PILI.

LENGO
SAMIA agombee bila upinzani wowote.

Huyo ndiyo Zitto Zuberi Kabwe.
 

hakuna uchaguzi mwaka huu. labda ufanyike kuzimu
 
Msitishwe na yote wafanyayo...

Msitishwe wala kubabaishwa na maandalizi na mbwembwe zozote za hiki kinachoitwa "uchaguzi mkuu wa 2025..."

MSIOGOPE WALA KUWA NA HOFU...

Wanajua na tunajua fika kuwa, IF THERE'S NO REFORMS, THEN THERE SHALL BE NO ELECTION comes October, 2025..!!

Kila ishara Iko mbele yao. Lakini wanaonekana kuwa na jeuri, kiburi na mioyo migumu kama wa Farao...

Linakuja pigo moja tu litakalozima na kunyamazisha kila kitu, na ndipo hapo kila goti litakapopigwa na kila ulimi kukiri kuwa, NI KWELI, LAITI TUNGEJUA NA KUFANYA YALIYOPASWA KUFANYWA KWA WAKATI...!

By then, it would be too late..

Tanganyika inafufuka na kurudi tena...

#NoReformsNoElection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…