Ya Mungu mengi ila Dunia ina mengi pia

Sasa si wangenipitisha ili tukutane bungeni mbona kitwanga alipitishwa .

Natamani jamaa angekuwa hai ningemshitaki kwa kuniharibia muda wangu na kuniathiri kisaikolojia
Lipiza kisasi Mkuu.

Kamdinye dada yake kisawasawa.
 
Lipiza kisasi Mkuu.

Kamdinye dada yake kisawasawa.
Dada yake alishaolewa na pia nimesikia story kuwa alikuwa kwenye ile clue ya kupeleka mabilioni nje , maana alikula shavu huko kwenye mihela ajabu jina kabadili [emoji848]

Japo ni muda umepita ila sasa hivi dada simtaki tena
 
Sawa Makongoro Nyerere
 
Huna hekima ya kupewa hicho cheo. Siku hizi hata wajingaa wanazeeka itoshe kusema wewe ni mpuuzi sana na hufai kabisa kuwa ata mwenyekiti wa mtaa. Huna mchango tena kwa taifa maana akili yako imepungua badala ya kuzidi kukomaa. Nisamehe bure kijana wako nimekasirika kusoma mwandiko wako alafu nikaunganisha codes...nimeumia sana
 
Mheshimiwa, si uniconnect na hizo ajira za serikali tuuuu?kwako hushindwi kitu
 
Pole sana Tape measure kwa hakika umenijua maana mpaka kuniita mzee wako bila shaka unajua kuwa umri umeenda .

Ila nikupe pole kwa kudhani hii nchi inahitaji watu wenye hekima ila inahitaji kakitu kadogo kakuitwa connection hivyo itoshe kusema connection nilikuwa nayo ndiyo maana alinitafuta na bado ninayo mama Samia aweza kunitafuta pia .

Sasa ombea nisipate teuzi yenye mamlaka makubwa sababu nitakutafuta nikupe cheo ili unifunze hekima mzee wako .

Hongera kwa kuwa mzalendo endelea hivyo hivyo japo our country we have a long way to go .

Pole kwa mzee mpuuzi kama mimi.
 
Angekupigia na ungelamba uteuzi, kosa ulilofanya ni kusimulia habari za hiyo simu........kumsimulia mkeo na hao marafiki; ulishakuwa hacked the moment alipokupigia.
Alinikosea sana yule mzee .
Nilitamani mpaka mzee angekuwepo nimshitaki labda amstue ili aache kuniharibia saikolojia yangu .
 
Kwa hiyo una hasira naye au unachuki na yeye?
 
Alinikosea sana yule mzee .
Nilitamani mpaka mzee angekuwepo nimshitaki labda amstue ili aache kuniharibia saikolojia yangu .

Codes ziko wazi sana mkuu, wajuvi wakiumiza kichwa watakujua sababu ni mtoto wa mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…